Don't Let Schooling interfere with your Education

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Baada ya kuona baadhi ya watu wanadharau shule na wengine kuona kwamba shule ndio kila kitu hadi kujipachika Sifa za Kuelimika nimeona tukumbushane Qoute ya Mark Twain; (Writer, Humorist, Enterpreneur, Lecturer) na School Drop- Out

Don't Let Schooling interfere with your Education.......

Ni kwamba Elimu haina mwisho, ingawa shule na vyuo ni muhimu lakini usitegemee shule na vyuo pekee kujifunza wala siku ya kumaliza shule / chuo sio mwisho wa Kujifunza....

Kumbuka; The man who does not read has no advantage over the man who cannot read....
 
Kweli kabisa mkuu; nakubaliana na wewe kwa 100%
Watu tuna-equate yale makaratasi au Prefix kwenye Jina la mtu na kuelimika..., nadhani kipimo bora cha ufahamu ni uwezo wa kupambana na your immediate surroundings.....

Watu wana-pursue vyeti badala ya uelewa....
 
Baada ya kuona baadhi ya watu wanadharau shule na wengine kuona kwamba shule ndio kila kitu hadi kujipachika Sifa za Kuelimika nimeona tukumbushane Qoute ya Mark Twain; (Writer, Humorist, Enterpreneur, Lecturer) na School Drop- Out

Don't Let Schooling interfere with your Education.......

Ni kwamba Elimu haina mwisho, ingawa shule na vyuo ni muhimu lakini usitegemee shule na vyuo pekee kujifunza wala siku ya kumaliza shule / chuo sio mwisho wa Kujifunza....

Kumbuka; The man who does not read has no advantage over the man who cannot read....
I got it
 
Back
Top Bottom