Dont let someone..........

Mmmmh, haya maneno tu
Hata kwenye keki yapo na tunayala.

Ingekuwa ni kweli 100%, MMU isingekuwa na sredi za nimeumizwa lol
 
Mmmmh, haya maneno tu
Hata kwenye keki yapo na tunayala.

Ingekuwa ni kweli 100%, MMU isingekuwa na sredi za nimeumizwa lol

Una akili sana wewe,fom fo naona ulipata ei ei ei ei tupu.
 
Try me Bishanga. U break my heart, I will crush yours even ur mamma won't recognise u,lol!

Ah wapi! Bishanga ni veteran wa mapambano ya hisia,sana sana once i am done with you utabadili ringtone na kuweka.....
Yesu nipeleke,kule kwa baba,tukaishi naye,milango ya dhahabu,ooh nuru,iko mbinguni.....
 
Huo ni uongo mtupu! Kila siku mnalia lia humu!
 
Au ukataliwe na mtu ambaye anayo kama ya 'kurinia asali' afu eti uanze kurevise maneno haya?

Nawashangaa hawa.Kila siku nasema humu,ukizaliwa mwanaume we tafuta hela yaliyobaki yatakufuata tu.
 
Wanawake wa siku hizi wanatafuta hela zao banaa! Wanataka mapenzi tu, unakutana na maopportunist na ushamba wako wa kanyigo unachunwa unajiskia mjanjaa!
Nawashangaa hawa.Kila siku nasema humu,ukizaliwa mwanaume we tafuta hela yaliyobaki yatakufuata tu.
 
Asali hata kijiko au uma vinaweza kurina eboo! Mchina kamaliza matatizo yoote ndugu!

Mateka hajambo kwanza?
Au ukataliwe na mtu ambaye anayo kama ya 'kurinia asali' afu eti uanze kurevise maneno haya?
 
Don't let someone become a priority in your life when u r just an option in theirs.

The problem is unakuja kujua you were an option mambo yakisha haribika....Kwanza you never know they are your priority until they actually are your priority (You never know you will love someone until you love them)
 
Hujakutana na iliyopinda kama kitasa cha mlango, mmmh! ndo utajua nalosema.

Hajambo, nikuitie?

Asali hata kijiko au uma vinaweza kurina eboo! Mchina kamaliza matatizo yoote ndugu!

Mateka hajambo kwanza?
 
Mara zingine mtu anajua tangu mwanzo.

Dating a married person si unajua kabisa?
Au mwingine anasema wazi, am taken somewhere else ila hapa tunakula 'good time' tu

But, unaweza jikuta umeanguka kwa mtu uliyedhani mara ya kwanza ni kwa ajili ya good time tu.

Kwa kifupi, moyo haubipiwi, aidha utapiga au kupokea, si kwa kila mtu lakini, ni baadhi ya watu tu.

The problem is unakuja kujua you were an option mambo yakisha haribika....Kwanza you never know they are your priority until they actually are your priority (You never know you will love someone until you love them)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…