Don't say you want a real man

Ndo mnavyopenda
Wanaenda na swaga zenu
Sasa hivi mwanamke mwenye kipilipili, akipita anatizamwa mara mbili

Hata hivyo, the "thing " is real
That's what matters!!
 
Ndo mnavyopenda
Wanaenda na swaga zenu
Sasa hivi mwanamke mwenye kipilipili, akipita anatizamwa mara mbili

Hata hivyo, the "thing " is real
That's what matters!!

I bet you mean the 'thingy' thing. Hiyo itakuwa real tu.
 
I want a real man because I am a real woman, not because I don't put on fake lashes or use mascara to add volume to my lashes.
 
I want a real man because I am a real woman, not because I don't put on fake lashes or use mascara to add volume to my lashes.

So, who is a real man? Does he differ from a gentleman?
 
Ndo mnavyopenda
Wanaenda na swaga zenu
Sasa hivi mwanamke mwenye kipilipili, akipita anatizamwa mara mbili

Hata hivyo, the "thing " is real
That's what matters!!

Mimi penda huyu. Hata kipilipili hana.
 
Kukubadilisha kwani ukoje sasa?

EMT, nimeshajijua mimi ni fake bora nitafute real man angalau tuneutralize tabia. Lol.
Hivi kama wewe mwanaume mlevi utatafuta mwanamke mlevi? Bora utafute mwanamke ambae si mnywaji ili angalau nyumba isiyumbe. Mi natafuta yule ambae mabaya niliyonayo yeye hana ili tuweze kuoneshana njia sahihi kuliko wote kuwa njia moja.
 
... Its all very subjective , its all in our subjective mind ... let every one choose according to her/his mental making ... Its always very beautifully that way... and add a .. sense of freedom ... and fully satisfaction!!
 
There you go.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…