Don't say you want a real man


Kazi ipo pale anapokuwa mlevi,mzinzi,mbishi, muongo....siju uta neutralize lipi? Roho wa bwana ushuke utusaidie!
 
Kazi ipo pale anapokuwa mlevi,mzinzi,mbishi, muongo....siju uta neutralize lipi? Roho wa bwana ushuke utusaidie!

emen! Hao wazinzi, wabishi, walevi hukimbilia kutafuta waliotulia michelle. Kuna wanaume walevi sana lakini huapa kutooa wanawake walevi,. Mwanaume kicheche hutafuta mwanamke aliyetulia anapotaka kuoa. Unaweza hisi ni kwanini. Ni kazi sana kwa mwanamke anapoelewa na mwanaume wa aina hiyo ila kama anakuwa ameshajua hizo tabia anaweza jipanga mapema kukabiliana nazo.
 
Real woman!!!???? ilikuaga zamani sana. choose to adopt fake life.
 
kuna kademu kalikuwa kananiponda eti nimeazima gari sio langu nikamwambia we mbona nywele unavaa za maiti?kanichunia mpaka leo
 
@ EMT, kwahiyo real man ana mchanganyiko wa tabia za chauvenist na passive au?
 

Nakubaliana na wewe kwenye hili Husninyo.....!!
 
EMT, I am real! real hair, real nails, real eyelash, real skin tone, real me...
Of course it is easy to keep them real when they are this pretty. lol
 
Ndo mnavyopenda
Wanaenda na swaga zenu
Sasa hivi mwanamke mwenye kipilipili, akipita anatizamwa mara mbili

Hata hivyo, the "thing " is real
That's what matters
!!
Teh teh teh! Kongosho bana.
 
EMT, I am real! real hair, real nails, real eyelash, real skin tone, real me...
Of course it is easy to keep them real when they are this pretty. lol

Can you take off your glasses so I can see those real eyelashes?
 
Can you take off your glasses so I can see those real eyelashes?
We amini ziko real. If I take off my glasses watu watagongana hapa bure, waniongezee kazi ya moderation. lol
 
Reactions: EMT
Wow...Salute!πŸ˜›hoto:
lol! Michelle, beauty is in the eyes of the beholder... mimi mwenyewe, mume wangu, watoto wangu tunaona i look good. I might not be as beautiful to others but does it matter? kama wale wangu wananiona mzuri, kama mwenyewe najiona sawa, si mi mzuri tu... lol
 

We mzuri tu,hata hao wako wasipokuona mzuri utabaki kuwa mzuri kwa vigezo vyako....haijalishi wengine wanakuonaje....!!

Binadamu hawa bwana ukisubiri wakuambie ndo ujione mzuri mbona utakuwa dissapointed....manake mara nyingi akikusifia tu ana jambo lake rohoni....lol...!!
 
Ndio hivo mpenzi! lol
Hata hivo ile post yangu ya kwanza refered to the avatar, ila nilitaka nikuchokoze tu. Kwangu mimi hakuna mwanamke alie karibia physical beauty to perfection like this one... This avatar of mine is not a good sample but if you have time google her. Nothing is too big, nothing is too small... she is almost perfect!
 

Hapo kwenye red, it matters to me. Tena sana. Remember a beautiful wife is another man's player. If you aren't a beautiful wife, ukikatiza pembeni mwa gari yangu nitashindwa hata kukupigia honi. Au Michelle unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…