Don't they teach the word 'most' in Tanzanian schools?

Ungesema 'kizungu sio mdomo yetu' ingependeza zaidi. Hehe! [emoji38] Mimi hapa ni mkenya lakini nipo kwenye [HASHTAG]#TimuKiswahiliMilele[/HASHTAG]! I think its a matter of choice and not just default setting.

Lugha ya mkoloni hiyo
Tuliipotezea UHURU 1961
 
This is what I meant in this thread,
Kenyans think English is a very big deal, ufala utawatoka lini?
Wakenya na Kingereza
 
Atleast hii thread ungeileta jioni ningejua unataka turefresh minds, but this early Morning babu??
Yaani usiku kucha umelala ukiliwaza hili na ukaamua ufungue thread kabisa
Hivi ulishaona wazungu wenyewe wakifanya mazungumzo yao wanahangaika na hizo vitu?
Wakenya bwana, ni malofa sana,
Badae mtaanza kutuambia tuweke Vocabulary kwenye comments.
Kenyans are Muingereza Nyeusi..
 
You're making a fool of yourself. Go back to school.............or better, talk to James Comey - he'll teach you something.
jamaa kaandika essay kumbe ujinga mtupuπŸ˜€πŸ˜€...eti ni most modern tu sio most modern in East AfricaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hawa jamaa lakiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
jamaa kaandika essay kumbe ujinga mtupuπŸ˜€πŸ˜€...eti ni most modern tu sio most modern in East AfricaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hawa jamaa lakiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yaani mtu mjinga lakini haoni ujinga wake. Alafu ananiambia eti nimuonyeshe an article from a reputable newspaper or citation from a book with the sentence in it. Yaani nitafute article kwa newspaper to prove a sentence is grammatically correct - like, is a newspaper a grammar book? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Yaani hawa majamaa ukisoma vitu wanavyoandika unachoka tu, sijui IQ yao iko vipi. πŸ˜€πŸ˜€
 

Uzi huu ungefaa upelekwe kwenye Jukwa la lugha na si hapa. Hata hivyo, umekosea kwa maelezo yako.

Neno "modern" ni adjective (Kivumishi.) Hebu tutazame vivumishi vingine kama Important na Foolish

Hebu tufuate maelezo yako kisha tutoe maneno baada ya nomino.

This is the most modern SGR
This is the most important day
This is the most foolish person
This is the most useless debate

Sentensi hizo hazijakamilika

Sentensi hizi pia si sahihi:

This is the modern SGR in Africa
This is the important day in Kenya
This is the foolish person in history
This is the useless debate in JF

Ili sentensi hizi ziwe sahihi, ni lazima tutumie neno most na tueleze ni wapi.

Kwa mfano:

This is the most modern SGR in Africa
This is the most important day in Kenya
This is the most foolish person in history
This is the most useless debate in JF
 
Don't worry Nairobi walker. You have met only a few Tanzanians out of the 45 million plus. Apparently MOST of the people you have met don't use the word MOST when speaking or writing sentences. But that doesn't mean that MOST of the Tanzanians don't use it when constructing sentences.
 
It is just an observation I made here on JF. I saw many Tanzanians make that error repeatedly and everyone seemed okay with it. At first I thought it was typing errors but then I realized it was not. Last week I met a Tanzanian who made exactly the same mistake, at that point I realized it was a Tanzanian thing.
 
Kwanini lazima uanzie na "This is .....", unaweza ukaanzia sentensi na maneno mengine na kutumia "Most modern"
Mfano hapo chini.






Kwa hiyo, uchambuzi wako hapo juu ni pumba.


Sentensi hizi pia si sahihi:

This is the modern SGR in Africa
This is the important day in Kenya
This is the foolish person in history
This is the useless debate in JF
Kwanini uanzie sentensi na "This is ...? Yaani kila sentensi lazima utumie mwanzo huo? Kama mtoto wa darasa la kwanza?
Huu chini ni mfano wa sentensi bila kutumia neno "most".




Ili sentensi hizi ziwe sahihi, ni lazima tutumie neno most na tueleze ni wapi.

Kwa mfano:

This is the most modern SGR in Africa
This is the most important day in Kenya
This is the most foolish person in history
This is the most useless debate in JF
Again!!! Why?
Some adjectives, like "pregnant', do not have a comparative/superlative form. You can't say she's more pregnant than the other. She's just Pregnant. You can use "time" to compare pregnancies eg. months, trimesters etc...
"Modern" is not the same as "pregnant" categorically. But most writers prefer not to use "modern" with space. Modern describes an era of civilization.
For example, Africa's most modern cities, or trains, railways etc...
Instead of saying most modern city in Africa.
Let's put it this way, "It won't lower your English grade, but it's just too amateurish"
Most modern train in Kenya? Nah!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
asante...jibu mwafaka
 
Show me!!!
You can't!
 
jamaa kaandika essay kumbe ujinga mtupuπŸ˜€πŸ˜€...eti ni most modern tu sio most modern in East AfricaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hawa jamaa lakiniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hehe ....
 
Mswahili anapokosea kidogo kuongea kizungu laonekana kosa kubwa lakini NINYI mnapokosea kiswahili mwaona kawaida,lo nyani haoni kundule
 

Tell it brother, good for you for clarifying that for OP..There are a decent number of Tanzanians who speak and write English in a fluent and grammatical manner...

Given that English is not our national language such simple mistakes might occur...
 

Nonsense post.
When most (superlative) followed by "of" cease to be WHAT!!???
What about this sentence.... The Dar flyover is a longest of all in East and Central Afrika.

Mr Bricks and mortar engineer; you need to consult your faculty to get your elementary grammar right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…