2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Nilivyofika hapo nikagundua Andika lako lote lishapoteza mvutoPeople who bad-mouth their ex.
Wanaongoza kwa kusafirisha Malaya usiku na kuwapeleka destination point11. Bodaboda
Wanaongoza kwa umbea na kuuza ramani za wateja wao. Usitake mazoea na boda mmojaWanaongoza kwa kusafirisha Malaya usiku na kuwapeleka destination point
Yaan hapo amemaanisha: usimuamini kiumbe yoyote anaeitwa binadamu ukiwemo wewe mwenyeweI will do you one better
Never trust any human, even that nobody you were always told to trust!
Nishasoma na nmesha-comment hao mamwehu kabisa
Wapuuzi sana bodabodaNishasoma na nmesha-comment hao mamwehu kabisa
Ni laana tena wachawiNilivyofika hapo nikagundua Andika lako lote lishapoteza mvuto
Sirudiagi makabichi
Sipashagi matapishi
Kuna maex ni laana