Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kesho naenda kwenye maonesho mengine nikiendelea na utafiti wangu wa hali ya kiuchumi hapa Marekani. So..
Shori kama Cythia masasi......
Nyani ngabu unalala saa ngapi? kula saa ngapi? na huyo cupcake wako mna manufacture saa ngapi? kila wakti nakukuta humo humo......
hebu acha hizo bana utafiti gani huo unaofanya...ingekuwa sio hao akina dada wala usingehangaika kwenda...Lol
Mzee Suki,
Unayaona magari hayo? You need to get one for a spin! Au ndiyo wenzetu bado mnatumia basikweli kusafiri!!?
I don't do spins.
Full rides are more my thing.
Picha ni nzuri sana! Nadhani ni wakati wa serikali kuachana na maBMW na kutumia magari haya, tena hawa warembo ndo wawe madereva
YANA MWISHO....(Kitabu cha KULI)