Door of no return, ukipita hurudi tenaa!

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Hili ni lango kuu lililokuwa likipitisha watumwa kwenda Marekani. Lango hili lipo baharini nchini Senegal [emoji1211]. Watumwa wakienda hawarudi maisha yao yote, ukipita tu hapo hata kama kwa bahati mbaya wewe basi tena

Door of no return. Goree Island, Senegal. One way ticket to slavery in America.

1660798751334.jpg
 
View attachment 2327079
Ki vip ?
 
Niaje traveller

Ni vizuri watu watambue na kujua historia yao,na kutunza kumbukumbu

Nakumbuka pale kigamboni magogoni ,achana na magogoni kwenye lile jumba jeupe
Magogoni kigamboni kulikuwa na sehemu zenye vibanda vya zamani
Ambapo watumwa walikuwa wanatolewa hapo na kusafirishwa kwenda zenji na bagamoyo
Ila cha ajabu kuna watu fulani nchii waliuza lile eneo na kupoteza kumbukumbu yote ya pale

Ova
 
We acha kabisa kaka nchi hii ina watu wenye uono hafifu wabinafsi na wasioona fursa za baadaye, hapo ndio basi tena historia na kumbukumbu imeshapotea. Na hawa ndio viongozi wetu Mungu atusaidie sana.
 
Safari Ya Cuba, Marekani Kusini
Brazil , Chile, Ecuador, Argentina
 
Back
Top Bottom