Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
senegal kwenda marekani mbona kasema kwenye bandikoYan kupita hapo ukitokea wapi na kuelekea wapi?
ina anzaje mie pia nikiwa jirani na hapo naunga juhudisenegal kwenda marekani mbona kasema kwenye bandiko
Ki vip ?Hili ni lango kuu lililokuwa likipitisha watumwa kwenda Marekani. Lango hili lipo baharini nchini Senegal [emoji1211]. Watumwa wakienda hawarudi maisha yao yote, ukipita tu hapo hata kama kwa bahati mbaya wewe basi tena
Door of no return. Goree Island, Senegal. One way ticket to slavery in America.
View attachment 2327079
Ukiwa unaenda marekani, hata Sasa inasemekana watu ambao huwa wanapita hapo huwa wanapotea kimazingaraYan kupita hapo ukitokea wapi na kuelekea wapi?
Africa bado tunatawaliwaSwali ni kwamba, and it’s rhetorical, je leo hii Meli ikitua tena hapo kwa hiari kabisa itaondoka tupu?
Andika vizuri nikujibuKi vip ?
Utanisamehe sababu sijuwi kiswahili vizuriAndika vizuri nikujibu
Kama Kuna chombo cha usafiri naukakiongoza kiende America [emoji631] basi utafika kama utafika salamaUtanisamehe sababu sijuwi kiswahili vizuri
Nilitaka kufahamu vizuri kuhusu uo mulango yaani ukiingiya utatokeya direct America ?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Niaje travellerHili ni lango kuu lililokuwa likipitisha watumwa kwenda Marekani. Lango hili lipo baharini nchini Senegal [emoji1211]. Watumwa wakienda hawarudi maisha yao yote, ukipita tu hapo hata kama kwa bahati mbaya wewe basi tena
Door of no return. Goree Island, Senegal. One way ticket to slavery in America.
View attachment 2327079
We acha kabisa kaka nchi hii ina watu wenye uono hafifu wabinafsi na wasioona fursa za baadaye, hapo ndio basi tena historia na kumbukumbu imeshapotea. Na hawa ndio viongozi wetu Mungu atusaidie sana.Niaje traveller
Ni vizuri watu watambue na kujua historia yao,na kutunza kumbukumbu
Nakumbuka pale kigamboni magogoni ,achana na magogoni kwenye lile jumba jeupe
Magogoni kigamboni kulikuwa na sehemu zenye vibanda vya zamani
Ambapo watumwa walikuwa wanatolewa hapo na kusafirishwa kwenda zenji na bagamoyo
Ila cha ajabu kuna watu fulani nchii waliuza lile eneo na kupoteza kumbukumbu yote ya pale
Ova
Lete Maneno.....Hata Bagamoyo ipo hiyo....