Dope Audio: Ali kiba and Yvone chachaka

Ka akiendelea hivi anaweza akatoka .....coz you can't feed your stomach with the same food daily...hapa angalau kabadilika
 
Sikuizi ni copy and paste ndo walicho bakiwa nacho kutunga miaka ilee
[emoji23][emoji23]kwaya sijui ya wapi hii kiba umeishiwa ujuzi tungo mbayaaaa bora hata ivony kaimba vizuri kama kairudia umkomboti yake
 
Inanikumbusha enzi za kwaya yetu shule ya msingi. Kulikuwa na sister duu nilimpenda ikabidi na mimi nijiunge kwenye kwaya ili niwe nae karibu.
 
Diamond atasubiri sana kwa kiba.

Team diamond toweni povu la kutosha.nimeshaandaa nguo za kufua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…