Doreen Mrema afunguka mazito!

Doreen Mrema afunguka mazito!

Mbaga Lazaro

Senior Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
132
Reaction score
108
Siku chache baada ya mazishi ya mwanasiasa mkongwe Augustine lyatonga Mrema mke wake aliyefunga naye ndoa siku za karibuni amefunguka mbele ya wanahabari mambo mbalimbali ilkiwa pamoja na anayodai ni usia alioachiwa na marehemu mume wake pamoja na matumaini yake baada ya kifo cha mumewe.Ikumbukwe kwamba baada ya kifo cha mumewe maoni mengi yametolewa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu maisha yake baada ya kifo cha mumewe hasa ukizingatia kwamba ndoa Yao haikufanikiwa kudumu kwa muda mrefu (kutokana na kifo cha mumewe) ukizingatia swala la kurithi Mali.Wapo wanaodai hastahili kupata mgao kwa kua kwa muda waliofanikiwa kuishi pamoja si rahisi kwamba walichuma Mali pamoja kumstahilisha urithi,wapo wanaosema hawakufanikiwapata mtoto pamoja hivyo kumpunguzia vigezo vya urithi.Wapo wanaodai alijiegesha kiujanja ujanja ili apate Mali japo mwanamama huyu alishawahi kusikika akisema anamiradi yake(ya Maua ) maeneo ya Moshi hivyo kilichompeleka kwa mzee Ni upendo na si Mali .Ikumbukwe kwamba siku za karibuni imejitokeza minong'ono na hata kufikia baadhi ya vyombo vya habari kuripoti kwamba huko ndani Hali si shwari.Ati wasema magari yanatolewa Hadi baadhi ya vifaa [emoji87]Amesema pamoja na changamoto alizopitia na anazopitia anaimani mtetezi wake yu hai na ama hakika mungu yu hai atampigania.
Nukuu
[emoji116]
"yapo yanayosemwa kwa kuyashuhudia kwa macho, ninaamini baba hajafunga macho, kama alivyoniahidi, kuwa hata akifa hatafumba macho, na ninaamini katika maneno yake."

"Sitakuwa na hofu wala sitakuwa na huzuni kwani naamini nimeachwa katika mikono salama. Bado nitaendelea kuishi kwa unyenyekevu, kama niliyekuwa mke wa Mrema, nitaendelea kuwaheshimu na kuwapenda wale ambao niliachwa kwao kama mke wa ndugu yao," amesema

"Nitaendelea kuwa mnyenyekevu kwa Serikali ya Tanzania na Watanzania wote na wote waliokuwa na mapenzi mema na familia ya Mrema" ameeleza

Amesema yapo mengi yanayozungumzwa kuhusu hatma yake akibainisha kuwa yapo baadhi yana ukweli na mengine ni upotoshaji.

"Yapo mengi yanayozungumzwa kwenye vyombo vya habari juu ya hatma ya maisha ya Doreen, yapo ambayo ni ya kweli na hayahitaji uchunguzi wa kiintelijensia na kimaabara."

"Lakini yapo ya upotoshaji kwa sababu ya dhamira mbalimbali nisisitize tu kwa kuwa changamoto zozote zilizotokea na zinazotokea naendelea kuzihifadhi lakini ninaamini mtetezi wangu yu hai” amesema na kusisitiza

“Niendelee kuwahakikishia Watanzania nitamuenzi mume wangu mpenzi na kuishi vile alivyoniasa na kunihusia, muondoe shaka juu yangu ila tumaini langu na imani yangu ni kwa Mungu aliye hai atampigania.
Nafikiri Dada huyu anapitia wakati mgumu kwa namna moja au nyingine anastahili kufarijiwa na watu wa karibu na watu wa unasihi pia wakimtembelea ni vizuri .Anaweza akawa anawaza kweli hilo la Mali kwamba je nitapata Mali Kama mke halali au la.Je aachane na yote akaolewe na na mwingine(ukizingatia bado kijana)
Lakini Pia wajuvi wa mambo ukizingatia wapo wadau wa Sheria humu na wafukunyuzi vp baada ya kufunga
ndoa Alikuwa mke halali wa ndoa Ila ukizingatia muda mfupi alioishi na mume wake stahiki zake Kama mke zinakuwa katika utaratibu upi Kama elimu kwa walio wengi kwani tumeshuhudia matatizo makubwa anapoondoka mtu na ukute ameacha mali . Just elimu kwa uma
 
Attachments

  • FB_IMG_1661979147825.jpg
    FB_IMG_1661979147825.jpg
    83.5 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1661979147825.jpg
    FB_IMG_1661979147825.jpg
    83.5 KB · Views: 12
Siku chache baada ya mazishi ya mwanasiasa mkongwe Augustine lyatonga Mrema mke wake aliyefunga naye ndoa siku za karibuni amefunguka mbele ya wanahabari mambo mbalimbali ilkiwa pamoja na anayodai ni usia alioachiwa na marehemu mume wake pamoja na matumaini yake baada ya kifo cha mumewe.

Ikumbukwe kwamba baada ya kifo cha mumewe maoni mengi yametolewa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu maisha yake baada ya kifo cha mumewe hasa ukizingatia kwamba ndoa yao haikufanikiwa kudumu kwa muda mrefu (kutokana na kifo cha mumewe) ukizingatia swala la kurithi Mali.Wapo wanaodai hastahili kupata mgao kwa kua kwa muda waliofanikiwa kuishi pamoja si rahisi kwamba walichuma mali pamoja kumstahilisha urithi,wapo wanaosema hawakufanikiwapata mtoto pamoja hivyo kumpunguzia vigezo vya urithi.

Wapo wanaodai alijiegesha kiujanja ujanja ili apate Mali japo mwanamama huyu alishawahi kusikika akisema anamiradi yake (ya maua ) maeneo ya Moshi hivyo kilichompeleka kwa mzee Ni upendo na si Mali .Ikumbukwe kwamba siku za karibuni imejitokeza minong'ono na hata kufikia baadhi ya vyombo vya habari kuripoti kwamba huko ndani Hali si shwari.

Ati wasema magari yanatolewa hadi baadhi ya vifaa 🙊Amesema pamoja na changamoto alizopitia na anazopitia anaimani mtetezi wake yu hai na ama hakika mungu yu hai atampigania.
Nukuu
👇
"yapo yanayosemwa kwa kuyashuhudia kwa macho, ninaamini baba hajafunga macho, kama alivyoniahidi, kuwa hata akifa hatafumba macho, na ninaamini katika maneno yake."

"Sitakuwa na hofu wala sitakuwa na huzuni kwani naamini nimeachwa katika mikono salama. Bado nitaendelea kuishi kwa unyenyekevu, kama niliyekuwa mke wa Mrema, nitaendelea kuwaheshimu na kuwapenda wale ambao niliachwa kwao kama mke wa ndugu yao," amesema

"Nitaendelea kuwa mnyenyekevu kwa Serikali ya Tanzania na Watanzania wote na wote waliokuwa na mapenzi mema na familia ya Mrema" ameeleza

Amesema yapo mengi yanayozungumzwa kuhusu hatma yake akibainisha kuwa yapo baadhi yana ukweli na mengine ni upotoshaji.

"Yapo mengi yanayozungumzwa kwenye vyombo vya habari juu ya hatma ya maisha ya Doreen, yapo ambayo ni ya kweli na hayahitaji uchunguzi wa kiintelijensia na kimaabara."

"Lakini yapo ya upotoshaji kwa sababu ya dhamira mbalimbali nisisitize tu kwa kuwa changamoto zozote zilizotokea na zinazotokea naendelea kuzihifadhi lakini ninaamini mtetezi wangu yu hai” amesema na kusisitiza

“Niendelee kuwahakikishia Watanzania nitamuenzi mume wangu mpenzi na kuishi vile alivyoniasa na kunihusia, muondoe shaka juu yangu ila tumaini langu na imani yangu ni kwa Mungu aliye hai atampigania.
Nafikiri Dada huyu anapitia wakati mgumu kwa namna moja au nyingine anastahili kufarijiwa na watu wa karibu na watu wa unasihi pia wakimtembekea ni vizuri .

Anaweza akawa anawaza kweli hilo la mali kwamba je, nitapata mali kama mke halali au la? Je, aachane na yote akaolewe na mwingine(ukizingatia bado kijana). Lakini Pia wajuvi wa mambo ukizingatia wapo wadau wa Sheria humu vipi baada ya kufunga ndoa alikuwa mke halali wa ndoa Ila ukizingatia muda mfupi alioishi na mume wake stahiki zake Kama mke zinakuwa katika utaratibu upi Kama elimu kwa walio wengi kwani tumeshuhudia matatizo makubwa anapoondoka mtu na ukute ameacha mali.

Just elimu kwa uma
 
Wamama wa nyakati hizi wamekosa hekima!sijaona mantiki yeyote! sijui kwanini ameita waandishi wa habari?ukimsikiliza between the sentence unagundua kuna jambo amelitaget kupitia mgongo wa Marehemu Mrema Lyatonga na hakuna cha kuficha anataka ubunge na atagombea ubunge! Ogopa sana watu ambao wanapenda sana kumtaja MUNGU kila mara! Huwa hawamaanishi! wamejaa hila sana.

Hekima ni kukaa kimya kama kweli anamtegemea MUNGU kwa yale anayoyaamini, hakuna haja ya kupiga kelele kuwaonyesha walimwengu! Bali MUNGU mwenyewe atajidhihilisha kupitia nguvu zake na ukuu wake utajifunua, uyo mama anayumba kwa tamaa, wala haliitaji degree kuliona hilo.
 
Hata maiti haijaoza tayari ashaanza heka heka
Kweli kufa tuwajue tabia zao.
Uko sahihi

Mwanamke wa kiafrika akifiwa na mume hukaa ndani siku 40 kuombolezea mumewe hatoki hata nje

Huyu mwanamke hajielewi
Mumewe kazikwa juzi juzi tu hapa yeye tayari keshatoka kuuza sura kwa waandishi wa habari.Hana hata watu wazima ndugu zake wa kumshauri?

Hiki kilikuwa kipindi cha ukimya kwake
 
Hata sisi tuliofiwa na wazazi hatukuwa na nguvu hata ya kufagia kwa ule mwezi wa kwanza....miez iliyofwata ilikuwa ya kilio pia hadi kufikia miez 6 hadi nilipojiambia ni lazima nijichanganye maisha yaendelee.
Me nashangaa mwenzetu amewezaje kuandika waraka mkubwa hvo na kuongea na waandishi wa habari mara hii.
 
Siku chache baada ya mazishi ya mwanasiasa mkongwe Augustine lyatonga Mrema mke wake aliyefunga naye ndoa siku za karibuni amefunguka mbele ya wanahabari mambo mbalimbali ilkiwa pamoja na anayodai ni usia alioachiwa na marehemu mume wake pamoja na matumaini yake baada ya kifo cha mumewe.Ikumbukwe kwamba baada ya kifo cha mumewe maoni mengi yametolewa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu maisha yake baada ya kifo cha mumewe hasa ukizingatia kwamba ndoa Yao haikufanikiwa kudumu kwa muda mrefu (kutokana na kifo cha mumewe) ukizingatia swala la kurithi Mali.Wapo wanaodai hastahili kupata mgao kwa kua kwa muda waliofanikiwa kuishi pamoja si rahisi kwamba walichuma Mali pamoja kumstahilisha urithi,wapo wanaosema hawakufanikiwapata mtoto pamoja hivyo kumpunguzia vigezo vya urithi.Wapo wanaodai alijiegesha kiujanja ujanja ili apate Mali japo mwanamama huyu alishawahi kusikika akisema anamiradi yake(ya Maua ) maeneo ya Moshi hivyo kilichompeleka kwa mzee Ni upendo na si Mali .Ikumbukwe kwamba siku za karibuni imejitokeza minong'ono na hata kufikia baadhi ya vyombo vya habari kuripoti kwamba huko ndani Hali si shwari.Ati wasema magari yanatolewa Hadi baadhi ya vifaa 🙊Amesema pamoja na changamoto alizopitia na anazopitia anaimani mtetezi wake yu hai na ama hakika mungu yu hai atampigania.
👇
"yapo yanayosemwa kwa kuyashuhudia kwa macho, ninaamini baba hajafunga macho, kama alivyoniahidi, kuwa hata akifa hatafumba macho, na ninaamini katika maneno yake."

"Sitakuwa na hofu wala sitakuwa na huzuni kwani naamini nimeachwa katika mikono salama. Bado nitaendelea kuishi kwa unyenyekevu, kama niliyekuwa mke wa Mrema, nitaendelea kuwaheshimu na kuwapenda wale ambao niliachwa kwao kama mke wa ndugu yao," amesema

"Nitaendelea kuwa mnyenyekevu kwa Serikali ya Tanzania na Watanzania wote na wote waliokuwa na mapenzi mema na familia ya Mrema" ameeleza

Amesema yapo mengi yanayozungumzwa kuhusu hatma yake akibainisha kuwa yapo baadhi yana ukweli na mengine ni upotoshaji.

"Yapo mengi yanayozungumzwa kwenye vyombo vya habari juu ya hatma ya maisha ya Doreen, yapo ambayo ni ya kweli na hayahitaji uchunguzi wa kiintelijensia na kimaabara."

"Lakini yapo ya upotoshaji kwa sababu ya dhamira mbalimbali nisisitize tu kwa kuwa changamoto zozote zilizotokea na zinazotokea naendelea kuzihifadhi lakini ninaamini mtetezi wangu yu hai” amesema na kusisitiza

“Niendelee kuwahakikishia Watanzania nitamuenzi mume wangu mpenzi na kuishi vile alivyoniasa na kunihusia, muondoe shaka juu yangu ila tumaini langu na imani yangu ni kwa Mungu aliye hai atampigania.
Nafikiri Dada huyu anapitia wakati mgumu kwa namna moja au nyingine anastahili kufarijiwa na watu wa karibu na watu wa unasihi pia wakimtembekea ni vizuri .Anaweza akawa anawaza kweli Hilo la Mali kwamba je nitapata Mali Kama mke halali au la.Je aachane na yote akaolewe na nanaumw mwingine(ukizingatia bado kijana)
Lakini Pia wajuvi wa mambo ukizingatia wapo wadau wa Sheria humu vp baada ya kufunga
ndoa Alikuwa mke halali wa ndoa Ila ukizingatia muda mfupi alioishi na mume wake stahiki zake Kama mke zinakuwa katika utaratibu upi Kama elimu kwa walio wengi kwani tumeshuhudia matatizo makubwa anapoondoka mtu na ukute ameacha mali . Just elimu kwa uma
Kama ni mali anataka ni bora atulie tu asee, yani hata mwaka hajamaliza naye alafu alalamike
 
Atulie kwanza msiba uishe ana miezi kwenye ndoa tayari anavunga kuliko watoto na ndugu wa mrema. Yeye ameshasema kuna shemeji yake ambaye ni ndg wa mrema, na mrema alimwambia atamfanyia kila kitu. Ampelekee mbususu pia. Alienda pale kwa mkakati wa kutrend huku akisubiri urithi hamna jipya hapo.
 
Uko sahihi

Mwanamke wa kiafrika akifiwa na mume hukaa ndani siku 40 kuombolezea mumewe hatoki hata nje

Huyu mwanamke hajielewi
Mumewe kazikwa juzi juzi tu hapa yeye tayari keshatoka kuuza sura kwa waandishi wa habari.Hana hata watu wazima ndugu zake wa kumshauri?

Hiki kilikuwa kipindi cha ukimya kwake
Kanyoa Punk matata kichwani Hana hata leso.
 
Back
Top Bottom