Doria za Ndege za kijeshi katika maeneo mbalimbali nchini kulikoni?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Your browser is not able to display this video.
Kaka Sio Dar tu hata Moshi ndege zinazunguka toka asuhuhi sema mlio wake unatupa mzuka sana wa kutoka kuikomboa nchi yetu πŸ˜„πŸ˜„ imebidi nicheke tu watanzania wa leo sio wa jana.

=======​

Kaka huku Buza leo ndege za jeshi zinazunguka tu hewani labda wanajiandaa na sherehe ya wananchi kuchukua nchi tarehe 9.


​
 
Sasa kama jeshi halina mission, hawana kazi na majukumu ya msingi unategemea nini, ukute leo ndio mara ya kwanza hata huyo rubani kurusha ndege hewan toka amekuwa jeshini, upuuzi tu
 
Tetesi ndege za kivita zinazunguka kwenye baadhi ya maeneo Je, jeshi limesimamisha bendera nyekundu ya utayari.

Je jeshi linajiandaa kupigana na wananchi ikiwa wauwaji wanajulikana na video za ushahidi zipo lakini hawawajibishwi kana Kwamba hawajavunja sheria.
 
Watalaam waseme ni nini kinamaanishsa, hata Dodoma week juzi paa za nyumba zimesumbuliwa sana na kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…