Doroth Kilave Mbunge wa Temeke na TARURA waanza operesheni kutambua vivuko vya watembea kwa miguu vyenye changamoto

Doroth Kilave Mbunge wa Temeke na TARURA waanza operesheni kutambua vivuko vya watembea kwa miguu vyenye changamoto

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
969
Reaction score
1,055
Mhe. Dorothy George

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Kwa kushirikisha na TARURA -Temeke 25/01/2022, wameanza Operesheni ya kuvitambua Vivuko Vya watembea Kwa Miguu vivilivyoko ndani ya Maeneo ya Wakazi wa Jimbo la Temeke Kwa ajili ya kuandaa Mpango Maalumu wa kujenga Vivuko Vya kudumu ili kupunguza adha wanayoipata Wananchi katika Matumizi ya Vivuko hivyo, Hasa katika Kipindi cha Mvua.

IMG_20220127_060744_156.jpg
 
Safi kabisa, kuna watu/viongozi wanafikiri mjini km dar hakuna changamoto za vitu km hivyo huko uraiani, kumbe vipo tu
 
Back
Top Bottom