Tofauti na nchi zingine zilizoendelea Tanzania kila chama cha upinzani hudharau vyama vingine vyenzao vya upinzani ikiwemo CHADEMA kunahitaji mutual respect kufikia huo umojaIli kuwa na upinzani wenye nguvu inatakiwa kuwe na vyama viwili tu.mfano chama tawala na vyama vyote vya upinzani vikaungana kuunda chama chenye nguvu
PAsco mayala akiona hili atachekelea sanaKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akidokeza kuwa yupo tayari kuchuana na Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan ikiwa Chama chake cha ACT Wazalendo kitamuidhinisha kuwania nafasi hiyo.
Soma pia:
- Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Dorothy Semu atangaza nia ya kuwania Urais mwaka 2025
- Othman Masoud achukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo
"Leo nimechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama cha Ishara kuwa nipo tayari kumkabili Rais Samia na CCM ambao wameshindwa kumkomboa mtanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.Hii ni ishara ya utayari wangu wa kuongoza mapambano ya kulinda thamani ya kura na kutetea demokrasia"
View attachment 3312196
View attachment 3312197
nadhani amejilinganisha na aliyepo akaona ni bora yeyeKajipima kaona anatosha
Kujipima ni kipimo binafsi sio.cha mtu mwingine kuwa aweza au la
Hongera zake
Mchaga mmachame,aliyevaa gozi ya fisiBaada ya kutangaza nia ya kugombea Urais, leo Mei 22, 2025 Dorothy Semu amechukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Mipango na Uchaguzi Taifa Ndugu, Shaweji Mketo katika Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo Magomeni, Dar Es Salaam.
View attachment 3312238
Mara baada ya kukabidhiwa fomu, Ndugu Dorothy Semu akasema, "leo nimechukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na niko tayari kumkabili Rais Samia Suluhu Hassan na chama chake CCM—chama ambacho kimeshindwa kutimiza wajibu wake wa msingi wa kuongoza na kuwahudumia Watanzania."
View attachment 3312239
Safii tunakuunga mkono kura za watanzania hususani chadema umezipata!Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akidokeza kuwa yupo tayari kuchuana na Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan ikiwa Chama chake cha ACT Wazalendo kitamuidhinisha kuwania nafasi hiyo.
Soma pia:
- Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Dorothy Semu atangaza nia ya kuwania Urais mwaka 2025
- Othman Masoud achukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo
"Leo nimechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama cha Ishara kuwa nipo tayari kumkabili Rais Samia na CCM ambao wameshindwa kumkomboa mtanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.Hii ni ishara ya utayari wangu wa kuongoza mapambano ya kulinda thamani ya kura na kutetea demokrasia"
View attachment 3312196
View attachment 3312197
Hadi nimemkumbuka yule mama wa watu mpole aisee Anna Elisha MghwiraKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akidokeza kuwa yupo tayari kuchuana na Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan ikiwa Chama chake cha ACT Wazalendo kitamuidhinisha kuwania nafasi hiyo.
Soma pia:
- Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Dorothy Semu atangaza nia ya kuwania Urais mwaka 2025
- Othman Masoud achukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo
"Leo nimechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama cha Ishara kuwa nipo tayari kumkabili Rais Samia na CCM ambao wameshindwa kumkomboa mtanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.Hii ni ishara ya utayari wangu wa kuongoza mapambano ya kulinda thamani ya kura na kutetea demokrasia"
View attachment 3312196
View attachment 3312197
njaa55 mbelee kabisa namshauri Joni mrema aunge juhudi nayeye achukue fomu wachuane ndani ya chamaSafii tunakuunga mkono kura za watanzania hususani chadema umezipata!
Afadhali wewe unafikiri.Hakuna chama cha ku i challenge CCM peke yake.Ili kuwa na upinzani wenye nguvu inatakiwa kuwe na vyama viwili tu.mfano chama tawala na vyama vyote vya upinzani vikaungana kuunda chama chenye nguvu
Ndio maana ya siasa źa upinzaninadhani amejilinganisha na aliyepo akaona ni bora yeye
Usimpangie mtu maisha yakeMchaga mmachame,aliyevaa gozi ya fisi
Mrema fomu yake ipo chadema wamemkabidhi chama nzi wa chooni kawaingiza chaka!njaa55 mbelee kabisa namshauri Joni mrema aunge juhudi nayeye achukue fomu wachuane ndani ya chama
Ayatollah yuko pale akichungulia chama kwa pembeni kama mbowe,akiona vip anarudi mzigoniNi haki yake Kikatiba swali ni Amejiandaaje Kupambana na iko CHAMA?
Nchi yetu siyo kichwa cha mwendawazimu. Sidhani kama Tanzania tunahitaji tena Rais mwanamke.Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akidokeza kuwa yupo tayari kuchuana na Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan ikiwa Chama chake cha ACT Wazalendo kitamuidhinisha kuwania nafasi hiyo.
Soma pia:
- Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Dorothy Semu atangaza nia ya kuwania Urais mwaka 2025
- Othman Masoud achukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo
"Leo nimechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chama cha Ishara kuwa nipo tayari kumkabili Rais Samia na CCM ambao wameshindwa kumkomboa mtanzania kiuchumi, kisiasa na kijamii.Hii ni ishara ya utayari wangu wa kuongoza mapambano ya kulinda thamani ya kura na kutetea demokrasia"
View attachment 3312196
View attachment 3312197
Msalimie MafuweMchaga mmachame,aliyevaa gozi ya fisi
Mrema Mlilia ruzuku chadema mianya imezibwa hawawazi ruzuku wanawaza masilahi mapana ya watanzaniaMrema fomu yake ipo chadema wamemkabidhi chama nzi wa chooni kawaingiza chaka!
mjazeni upepo hana lolote, anayemuweza saa100 ni simba aliyempa uhaini zaidi yake hapana mwingineKajipima kaona anatosha
Kujipima ni kipimo binafsi sio.cha mtu mwingine kuwa aweza au la
Hongera zake
Pascal Mayalla shemeji kachukua fomu ya uRais. Njoo utie neno.PAsco mayala akiona hili atachekelea sana
Hata utendaji wa kata hawezi pewa!Anatafuta ukuu wa mkoa