Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Mama wawili unawashwa sanaNdugu zangu Watanzania,
Dorothy Semu aliyekuwa ametangaza kugombea Urais Kupitia Chama chake cha ACT WAZALENDO.
Je anajiondoa ili kumpisha Luhaga Mpina?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas alikua anampigia kampeni Mbowe. Ukiona Lucas anashangilia usijiulize mara mbili wewe pigia mstari. Abdul sio wamchezo mchezoLucas tena kwenye moja na mbili.
ACT imepata degedege tena kama ilivyokua 2020 na hayati membe na sasa Luhaga mpina, dah!🐒Ndugu zangu Watanzania,