Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ukisikia kuishiwa maarifa ndio hukoUchaguzi 2024 walilinda kura ?
Inatakiwa iwe hivyo.Akalinde hizo kura yeye na mumewe, sisi wengine na kura hatupigi kabisa.
Ukweli ndiyo huo.Njia nzuri za kulinda kura ni kubaki nayo nyumbani...
Hawa watafanya maigizo ambayo wameshapenga tayari, trust me. CCM imeshapanga itawapa majimbo kadhaa (japo ni machache sana), halafu kwenye hayo majimbo, ''watacheza mchezo'' wakulinda kura, vijana wa ACT watajitokeza na polisi itajifanya kuzidiwa na watatangazwa washindi. Upande wa Zanzibar watapewa Pemba kama ilivyo kawaida ila urais wasahau. Wangekuwa na uwezo wa kulinda kura miaka yote wanayoshinda urais Zanzibar mbona hawalindi na kutangazwa?Ngoja tuone watu watakavyofurushwa vituoni na kubondwa baada ya kupiga "kula" zao.👊🧐
Hawa ndio tatizo la nchi hii wala sio ccmKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amesema kuwa chama chake kinaingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa lengo kuu la kulinda thamani ya kura ya Mtanzania, kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakipitwi bila kupingwa na kutumia uchaguzi kama jukwaa la kusikiliza na kuzungumza masuala halisi yanayowagusa wananchi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, mkoani Simiyu, Julai 5, 2025, Semu amesisitiza kuwa uchaguzi huu si wa kawaida, bali ni fursa kwa Watanzania kudai heshima ya kura yao na kupaza sauti dhidi ya uonevu wa kisiasa unaotokana na matumizi mabaya ya vyombo vya dola.
Bi. Semu amewaonya maafisa wa vyombo vya dola kutotumika kama silaha za kuwanyamazisha wapinzani au kukandamiza harakati za kisiasa. Amesema kuwa taasisi hizo ni kwa ajili ya kulinda haki na amani ya wananchi wote bila kujali itikadi au chama chao.
Kwa Zanzibar labda vikosi vya majeshi kama KMKM vifutwe kwanzaHawa watafanya maigizo ambayo wameshapenga tayari, trust me. CCM imeshapanga itawapa majimbo kadhaa (japo ni machache sana), halafu kwenye hayo majimbo, ''watacheza mchezo'' wakulinda kura, vijana wa ACT watajitokeza na polisi itajifanya kuzidiwa na watatangazwa washindi. Upande wa Zanzibar watapewa Pemba kama ilivyo kawaida ila urais wasahau. Wangekuwa na uwezo wa kulinda kura miaka yote wanayoshinda urais Zanzibar mbona hawalindi na kutangazwa?
Ana uhakika wa URC kama Mama Anna Mgwila alivyoukwa nae alipogombea au Queen Sendiga🤣🤣🤣baadae zinakujaga story nchi kwanza ushalamba asali 2025 iwe mwisho wa vishoka wa siasa nchini kama tunaipenda kweli nchi yetuKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amesema kuwa chama chake kinaingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa lengo kuu la kulinda thamani ya kura ya Mtanzania, kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakipitwi bila kupingwa na kutumia uchaguzi kama jukwaa la kusikiliza na kuzungumza masuala halisi yanayowagusa wananchi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, mkoani Simiyu, Julai 5, 2025, Semu amesisitiza kuwa uchaguzi huu si wa kawaida, bali ni fursa kwa Watanzania kudai heshima ya kura yao na kupaza sauti dhidi ya uonevu wa kisiasa unaotokana na matumizi mabaya ya vyombo vya dola.
Bi. Semu amewaonya maafisa wa vyombo vya dola kutotumika kama silaha za kuwanyamazisha wapinzani au kukandamiza harakati za kisiasa. Amesema kuwa taasisi hizo ni kwa ajili ya kulinda haki na amani ya wananchi wote bila kujali itikadi au chama chao.
Njia nzuri za kulinda kura ni kubaki nayo nyumbani...