Elections 2010 Dosari za Magufuli hizi hapa


muache uongo, kama kweli magufuri alipindisha barabara mbona tangia kikwete aingie madarakani mbona hajaijeng hiyo sehemu iliyobaki? Najua sehemu ya Bwanga -Biharamulo ni km 45 tu.
Musipende kuendekeza hadithi za uwongo, ukiangaliafinal doc ya ujenzi wa barabara kati ya geita,to muleba ianonyesha ingepita chato. Kama huamini njoo wizarani hapa Tanroads siku ya Ijumaa nitakupa document.
 
JPM ni noma - huwezi kuniambia lolote, mangapi mazuri amefanya? ni kiongozi bomba sana
 
..kwanza arudishe nyumba ya serikali aliyoiba/kujiuzia kwa bei ya kutupa.

..baada ya hapo aombe radhi kwa kutumia madaraka yake vibaya ktk zoezi zima la uuzwaji/wizi wa nyumba za serikali.

..akifanya hivyo wapenda mabadiliko kama mimi tutamfikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…