Biteko anastahili cheo alichopata baada ya kuwezesha mchango wa madini kuongezeka mpaka 10% la pato, lakini haina maana Majaliwa hafanyi kazi nzuri.
Majaliwa ni mfuatiliaji mzuri sana, lakini naona watu wanajalisha sana kushindanisha badala ya kuwaona kama team.
View: https://www.youtube.com/live/9TCUqV4Q0Es?si=iDQNcQtVhSZQo6gm