K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Oct 21, 2023 #1 Biteko anastahili cheo alichopata baada ya kuwezesha mchango wa madini kuongezeka mpaka 10% la pato, lakini haina maana Majaliwa hafanyi kazi nzuri. Majaliwa ni mfuatiliaji mzuri sana, lakini naona watu wanajalisha sana kushindanisha badala ya kuwaona kama team. View: https://www.youtube.com/live/9TCUqV4Q0Es?si=iDQNcQtVhSZQo6gm
Biteko anastahili cheo alichopata baada ya kuwezesha mchango wa madini kuongezeka mpaka 10% la pato, lakini haina maana Majaliwa hafanyi kazi nzuri. Majaliwa ni mfuatiliaji mzuri sana, lakini naona watu wanajalisha sana kushindanisha badala ya kuwaona kama team. View: https://www.youtube.com/live/9TCUqV4Q0Es?si=iDQNcQtVhSZQo6gm
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Oct 21, 2023 #2 Sawasawa
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 Oct 22, 2023 #3 Kwahiyo bila yeye 10% isingepatikana?