Doto Magari atembelea mradi wake wa kufuga nguruwe wa million sabini Dodoma. Na kila nguruwe chakula kwa siku laki 3.

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Influencer mhamasishaji maarufu machachari na muuza magari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 wilaya ya Bahi Dodoma.

Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.

Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.

Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.

Msikize zaidi kwenye video hapo chini.

View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE

Accumen Mo darcity mrangi King Kong III
 
Influencer mhamasishaji maarufu machachari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 Bahi Dodoma.

Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.

Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu.

Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.

Msikize zaidi kwenye video hapo chini.

View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE

Accumen Mo darcity mrangi King Kong III

Hawa kwa kuongeza sifuri
😄

Ova
 
Hakuna Nguruwe anakula chakula cha shilingi laki 3 Kwa Siku

Mwambie awe mkweli

Kitendo cha kutaja gharama kubwa kwenye Mradi wake itawafanya ma-hustler wengine kuogopa kuwekeza wakati tunafahamu gharama za chakula Kwa Nguruwe mmoja hutumia less than 10k

By the way hongera kwake kuweza kuwekeza

To the gentlemen out there, try to invest for every single cent you get

The rewards will be higher when the energy is no longer with your body 🙌
 
Mradi mzuri Ila huyo muongeaji wa kwanza anapotosha.
Huyo mmiliki wa mradi atumie watu sahihi kutangaza huo mradi sio huyo anaonekana kama chizi.
Waeleze vizuri mtu akitaka kufugiwa nguruwe utaratibu ukoje na mapato yakoje kama alivyokuwa anafanyaga Mr Kuku aliyekuja kufungiwa na serikali akionekana anafanya utapeli
 
Influencer mhamasishaji maarufu machachari na muuza magari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 wilaya ya Bahi Dodoma.

Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.

Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.

Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.

Msikize zaidi kwenye video hapo chini.

View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE

Accumen Mo darcity mrangi King Kong III

Ukivaa rosari lazima ufuge Nguruwe 😅😅
 
Walikuepo wengi wakapitaa..wakina liquid,mandongaa na sasaa yeye..cha muhimu atumie fursaa vizur ss wabongo tunawachoka watu mapemaa sana..ila ajitahd ajifunze kiingerezaa kdogo na jografiaa kdogo itamsaidia
 
Mradi gharama milion 70, kila nguruwe kwa siku anakula laki 3. 300000 x 1000 = 300,000,000 yani gharama ya chakula kwa siku ni milion 300 mara nne na zaidi ya gharama za mradi.
Hata ingelikuwa kweli huyo nguruwe mpaka umuuze labda kama gram yake inauzwa lak 5
Influencer mhamasishaji maarufu machachari na muuza magari nchini Doto Magari mtoto wa mama Kizimkazi na hapa ipo, katembelea mradi wake wa kufuga nguruwe iliomgharimu million 70 wilaya ya Bahi Dodoma.

Akizungumza na waandishi wa habari waliomiminika kumhoji alidai nguruwe wake ni wa kipekee Tanzania na Africa kwani ni breed ya kipekee na kisasa.

Pia amedai kila nguruwe gharama yake ya chakula kwa siku ni laki Tatu. Na ana nguruwe 1000.

Cha kushangaza Doto Magari mwenyeji wa Dar Mzaramo muislamu anavaa rozari na aanafuga nguruwe. Yete anadai hana matabaka.

Msikize zaidi kwenye video hapo chini.

View: https://youtu.be/-TjTqpdFECk?si=7fkbm0vGCM_9OrcE

Accumen Mo darcity mrangi King Kong III

gurum
 
Ila hawa wa piga kelele hawa! Mmmmh,
Cha ajabu huwezi kuwasikia watu kama Fernandez boss wa Nala, au, lady Jay d, au, boss wa jamii forum, au bakheresa wakijitapa kwa, ukwasi, wao,
Wanaojitqpa, ni hawa, hawa, Mara utasikia natumia 40 milioni kwa siku!
 
Back
Top Bottom