Jamani wana jf nina matatizo makubwa sana ya kisaikolojia ambayo yanaathiri sana maisha yangu ya kila siku kuna sometimes nawaza hadi kufa, vp kwa wanaojua kama hapa tanzania kuna sehemu wazoweza kutibu matatizo ya kisaikolojia naomba wanambie, natanguliza shukrani