Ewura CCC walitangaza nafasi za wajumbe wa bodi mwishoni mwa mwaka jana.. Watu wenye uzoefu wa tasnia ya nishati waliomba na hatimae waliitwa kwenye usaili. Sharia ya EWURA imeweka wazi kuwa baada ya usaili waziri wa nishati anatakiwa kuchagua watu 7 akiwemo mwenyekiti wa bodi.
Tunaomba mamlaka husika kuliangalia hili kwa kuweka uwiano sawa. Waliofanya usaili wanalalamika huku wale waliochaguliwa wakijisifu kuwa wanajuana na kigogo huyo
View attachment 3470633
Tunaomba mamlaka husika kuliangalia hili kwa kuweka uwiano sawa. Waliofanya usaili wanalalamika huku wale waliochaguliwa wakijisifu kuwa wanajuana na kigogo huyoEwura CCC walitangaza nafasi za wajumbe wa bodi mwishoni mwa mwaka jana.. Watu wenye uzoefu wa tasnia ya nishati waliomba na hatimae waliitwa kwenye usaili. Sharia ya EWURA imeweka wazi kuwa baada ya usaili waziri wa nishati anatakiwa kuchagua watu 7 akiwemo mwenyekiti wa bodi.
Tunaomba mamlaka husika kuliangalia hili kwa kuweka uwiano sawa. Waliofanya usaili wanalalamika huku wale waliochaguliwa wakijisifu kuwa wanajuana na kigogo huyo
View attachment 3470633
Kweli kabisa mkuu, watu wakipewa mamlaka wanayatumia kwa kuingiza mambo yasio ya sawa. Ni kama hujmaDini ni kansa mbaya sana duniani
Haya mambo sijui yataisha lini. Kama mtu mkubwa serikalini anafikia kuyafanya haya wengine watafanyajeHatari sana
Hii katiba yakubadilisha.Ewura CCC walitangaza nafasi za wajumbe wa bodi mwishoni mwa mwaka jana.. Watu wenye uzoefu wa tasnia ya nishati waliomba na hatimae waliitwa kwenye usaili. Sharia ya EWURA imeweka wazi kuwa baada ya usaili waziri wa nishati anatakiwa kuchagua watu 7 akiwemo mwenyekiti wa bodi.
Tunaomba mamlaka husika kuliangalia hili kwa kuweka uwiano sawa. Waliofanya usaili wanalalamika huku wale waliochaguliwa wakijisifu kuwa wanajuana na kigogo huyo
View attachment 3470633
Kobaz wameangukia pua wako wawili tu ila dah hiyo ya mwenyekiti Sasa ina nguvu hata kama wapo wawili.Ewura CCC walitangaza nafasi za wajumbe wa bodi mwishoni mwa mwaka jana.. Watu wenye uzoefu wa tasnia ya nishati waliomba na hatimae waliitwa kwenye usaili. Sharia ya EWURA imeweka wazi kuwa baada ya usaili waziri wa nishati anatakiwa kuchagua watu 7 akiwemo mwenyekiti wa bodi.
Tunaomba mamlaka husika kuliangalia hili kwa kuweka uwiano sawa. Waliofanya usaili wanalalamika huku wale waliochaguliwa wakijisifu kuwa wanajuana na kigogo huyo
View attachment 3470633
Kobaz wameangukia pua wako wawili tu ila dah hiyo ya mwenyekiti Sasa ina nguvu hata kama wapo wawili.
adriz The Consigliere hydroxo Nyonzo bin mvuleh
Hatari sana mkuu. M/kiti unakuwa huna nguvu kama utakosa support kutoka kwa wajumbe. Alafu amechagua m/kiti kubaz ili a justify huo uchafu alioufanyaKobaz wameangukia pua wako wawili tu ila dah hiyo ya mwenyekiti Sasa ina nguvu hata kama wapo wawili.
adriz The Consigliere hydroxo Nyonzo bin mvule
Kweli kabisa, na vile sasa hivi serikali yote inaangia uchaguzi basi watu wanafanya madudu tuHii katiba yakubadilisha.
Bunge limevunjwa ila bado wengine wanaendelea kuwa viongozi hii sio sawa.
Wizara zilipaswa kuwa chini ya makatibu wakuu.
Bunge likivunjwa hata Raisi anapaswa awe mstaafu.
Tunahitaji katiba itakayowafanya wananchi waheshimiwe.Kweli kabisa, na vile sasa hivi serikali yote inaangia uchaguzi basi watu wanafanya madudu tu
Sana mkuu yaani mtu anaamka asubuhi anateuwa mtu anayemtakaTunahitaji katiba itakayowafanya wananchi waheshimiwe.
Japo kuwa hata hii katiba iliyopo haina kipengele cha wananchi kudharauliwa lakini kuna watu wanatudharau sana.
Huo ndio ukweli, haiwezekani mtu anaamka asubuhi na kuteua mtu anayemtakaTunahitaji katiba itakayowafanya wananchi waheshimiwe.
Japo kuwa hata hii katiba iliyopo haina kipengele cha wananchi kudharauliwa lakini kuna watu wanatudharau sana.
Nadhani tunahitaji reforms kwenye hili pia
Naunga mkono hojaHii katiba yakubadilisha.
Bunge limevunjwa ila bado wengine wanaendelea kuwa viongozi hii sio sawa.
Wizara zilipaswa kuwa chini ya makatibu wakuu.
Bunge likivunjwa hata Raisi anapaswa awe mstaafu.