GE2025 Dotto Biteko: Nitawashangaa sana watakaohoji ushindi wa CCM uchaguzi mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Dotto hadi sasa hakuna haki yoyote ilifanyika kwenye uchaguzi huu, uchaguzi ambao umeingia doa kubwa hata kwa jiki auwezi kuondoa doa hilo.

Na hao mnaoshindana nao ni CCM B wote so hakuna uchaguzi hapo!
====================

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Dotto Biteko amesema kwa mipango ya kusaka ushindi kwenye uchaguzi mkuu inayosukwa na Chama Cha Mapinduzi( CCM) atawashangaa watakaohoji ushindi wa chama hicho.

Akizungumza Mjini Geita leo Oktoba 13,2025 kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Biteko amesema hana mashaka na ushindi wa CCM kwenye uchaguzi mwaka huu.
Your browser is not able to display this video.
 
Ukiwa ccm ni kama akili inahama hivi! Yaani hata wenye jambo la msingi, mtu analeta porojo.
 
Tukihoji legitimacy ya uchaguzi tutakuwa tumeshahoji ushindi. CCM vs CCM ni kiini macho (sio uchaguzi)!
 
Kuna sehemu tumemkosea MUNGU, na sasa tunadhibiwa kupitia hawa mawakala wa shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…