Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Wakati napiga patrol zangu huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Biteko akiwa kwa mara nyingine anawasema TANESCO.
Kwenye hii clip Biteko, analalamika kuhusu ubovu wa huduma kwa wateja za TANESCO kama ambavyo mara zote anafanya. This time anasema:
"Mnaona watu wanalalamikia kuhusu umeme, wapeni umeme. Tumeondoa mgao tumeleta tatizo jingine la huduma kwa wateja. Kama wananchi hawaridhishwi na huduma zetu sisi humu ndani wote tutaonekana hatuna maana. Hudumieni watu msiwavunje moyo watu, wanaozunguka huko maporini, kuweka nguzo. Alafu kuna watu wako kwenye chumba chenye AC alafu anawajibu vibaya wateja haiwezekani. Mimi sitakubali na wewe MD usikubali"
Nadhani kama Waziri wa Nishati kama umeshaongea zaidi ya mara moja hili suala ni vyema uchukue hatua.
Kulalalamika kwenye majukwaa hakusaidii. Sisi wananchi tunataka majibu sio viongozi wanaolia lia.