Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Vuguvugu la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limeendelea kuwa kali.
Hivi karibuni Dotto Biteko ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya (CCM) Taifa ametoa tahadhari kuwa hata kama vyama vya upinzani vimeahidi kutojitoa kwenye Uchaguzi lakini bado vitapigwa tu.
Soma pia: Freeman Mbowe: Tuliwasusia mwaka 2019, kosa hilo haturudii tena. Safari hii tutabanana mpaka tone la mwisho la damu
"Naambiwa hapa kuna wengine wameamua kujitoa, hata kama wameamua kujitoa watapigwa na hata wakibaki ndani watapigwa, kwa sababu fomu walijaza wenyewe na naomba msijitoe bakini twende hadi mwisho. Hatutaki vyama vya upinzani vibinywe wala hatutaki mtu yeyote anyanyaswe"
=================================================================
Hii ina maana hata vyama vya upinzani vikishinda Uchaguzi na vyenyewe bado "Vitapigwa" au ana maana gani huyu baba?
Source: Habari Clouds