Vuguvugu la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limeendelea kuwa kali.
Hivi karibuni Dotto Biteko ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya (CCM) Taifa ametoa tahadhari kuwa hata kama vyama vya upinzani vimeahidi kutojitoa kwenye Uchaguzi lakini bado vitapigwa tu.
"Naambiwa hapa kuna wengine wameamua kujitoa, hata kama wameamua kujitoa watapigwa na hata wakibaki ndani watapigwa, kwa sababu fomu walijaza wenyewe na naomba msijitoe bakini twende hadi mwisho. Hatutaki vyama vya upinzani vibinywe wala hatutaki mtu yeyote anyanyaswe"