Yani kufungua uzi wa kumjadili Dotto magari ndio unajisifia? Ndio maana nakuita debe tupu,unafungua uzi wa kujadili harakati za mwanaume mwenzio!! Halafu unajisifia!
Hana elimu ndiyo maana anaona wasomi ni wajinga kwa kuwq kawazidi kupata hela kwa kupitia kuwasifia wanaume wenzake, hii nchi imechezewa sana na watu maarufu