Dotto Magari: Mabilionea na Wawekezaji waliokimbia Nchi, wote wamerudi na wanawekeza Tanzania

Kayugumis

Senior Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
107
Reaction score
97
Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi.

Msikilize kwenye ‘clip’ hapa, namnukuu “Mabilionea na Wawekezaji wote waliokimbia, wote wamerudishwa, wamerudi kuwekeza, wanaendelea kuupiga mwingi, fursa ndio hizo
mnapewa mjenge, sasa mnataka nini?”

Wamerudi ku enjoy kwa kupiga pesa ndefu bila kulipa Kodi.

Siasa wanaodili nayo wengi ndiyo wajinga kama huyo mzaramo asiye na elimu.

Reasoning ndogo bila kufikiria kwa kina!
 
Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi.

Msikilize kwenye ‘clip’ hapa, namnukuu “Mabilionea na Wawekezaji wote waliokimbia, wote wamerudishwa, wamerudi kuwekeza, wanaendelea kuupiga mwingi, fursa ndio hizo
mnapewa mjenge, sasa mnataka nini?”

View attachment 3097413
Kidogo kidogo anaingia kwenye siasa kesho utasikia anagombea ubunge.....machawa....
 
Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi.

Msikilize kwenye ‘clip’ hapa, namnukuu “Mabilionea na Wawekezaji wote waliokimbia, wote wamerudishwa, wamerudi kuwekeza, wanaendelea kuupiga mwingi, fursa ndio hizo
mnapewa mjenge, sasa mnataka nini?”

View attachment 3097413
Moderators tunasikitika kuwa huu uchafu wa FB kuhamishiwa hapa JF, mnalishushia hadhi Jukwaa letu pendwa. Na tukileta kitu kama hiki kuihusu CCM mtuvumilie pia kwani ni nyie wenyewe mnaruhusu Jukwaa kunajisiwa.
 
Huyu hapa Dotto Keto 'Dotto Magari' anasema Mama Samia apewe maua yake kwa kupambana kuwatoa maeneo ya Makaburini na kuwapeka Mikocheni, kwamba kwa takribani miaka 30 hawakuwa na ofisi.

Msikilize kwenye ‘clip’ hapa, namnukuu “Mabilionea na Wawekezaji wote waliokimbia, wote wamerudishwa, wamerudi kuwekeza, wanaendelea kuupiga mwingi, fursa ndio hizo
mnapewa mjenge, sasa mnataka nini?”

View attachment 3097413
Hawa ndiyo wanatakatisha fedha chafu za vigogo....
 
Back
Top Bottom