Double agent Oleg Gordievsky afariki akiwa na umri wa miaka 86

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Huyu bwana oleg Gordievsky alikuwa ni jasusi wa KGB aliyeifanyia kazi MI6 ya uingereza , amefariki tokea mwezi march halafu mimi hata sikukumbuka kufuatilia habari zake. (of course nilikuwa offline almost a 2 weeks ).

Oleg Gordievsky, the long-standing KGB double agent who defected to Britain, has died aged 86.

Gordievsky was said to be Britain's most valuable spy in living memory inside Russia's intelligence agencies.

Counter-terrorism police are assisting the coroner, but his death is not being treated as suspicious.
He died peacefully at his home in Surrey, the BBC understands.

Kisa chake nimewahi kukisimulia humu JF in details. R.I.P comrade.
 
Lile pigo la KGB kwa mi 6 la philby sikumbuki vizuri jina, aliyekua kaimu mkurugenzi mkuu,lile konki
 
Lile pigo la KGB kwa mi 6 la philby sikumbuki vizuri jina, aliyekua kaimu mkurugenzi mkuu,lile konki
Mzimu wa philby bado unatesa taasisi nyingi za kijasusi duniani. Kuanzia kule Langley Virginia hadi kwenye special branch kule east Africa
 
Mzimu wa philby bado unatesa taasisi nyingi za kijasusi duniani. Kuanzia kule Langley Virginia hadi kwenye special branch kule east Africa
HUYU mtu alikuwa ni mtu na nusu..aliwadukua sana MI6 na kuzipenyeza Soviet huko kama Jounalist.

Dunia ya sasa hivi tunavyoishi hatujui nani anafanya kazi kwa ajili ya nani ila baada ya miaka 50 mbele utasikia flani alikuwa ni double agent wa nchi flani.

HATARI SANA..
TRUST NO ONE, SUPECT EVERY ONE.
 
Mzimu wa philby bado unatesa taasisi nyingi za kijasusi duniani. Kuanzia kule Langley Virginia hadi kwenye special branch kule east Africa
East Africa kulikua na shida Gani?!..Sina Hilo jani
 
Haya mambo still yapo...sema kuna mida inabidi wayamalize kimyakimya kuepuka fedheha ya umma
 
Haya mambo still yapo...sema kuna mida inabidi wayamalize kimyakimya kuepuka fedheha ya umma
Urusi hufanikiwa zaidi,pale FBI aliweka mtu juu kabisa kule,fikiria jaribio la mapinduzi uturuki urusi ndiyo walimshitua Erdogan, mapinduzi yale yalikua na mkono wa magharibi, Castro kaishi na kufa kiasili sababu ya intelligence ya soviet
 
Hatari sana
 
Ingekuwa ni jasusi wa Rwanda hapa Tanzania watu wangesema idara yetu ni dhaifu.. haya mambo hayaepukiki
 
Hawa ma-double agent nchi zao zikiwajua kuwa wanatumika mara mbili hawachukuliwagi hatua zozote??
 
If Moscow rules watch your back, London rules cover your arse​

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…