Double blow for Diamond Platinum as his best -selling songs are blacklisted by Tanzanian Government

Double blow for Diamond Platinum as his best -selling songs are blacklisted by Tanzanian Government

Jay456watt

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
10,356
Reaction score
7,992
Hardly three weeks after being publicly dumped by his long-term partner, Tanzanian Bongo artiste Naseeb Abdul Juma, popularly known as Diamond Platinumz, is in more trouble. The 28-year-old, who was ditched by his Ugandan lover, Zari Hassan, on Valentine's Day, is among musicians whose songs have been banned in Tanzania. The decision comes after Tanzanian President John Magufuli complained about moral decadence in Tanzania’s showbiz, citing proliferation of numerous ratchet videos on the country's TV stations. On Wednesday, the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) published a list of 15 songs banned from all media stations and handed it to various media houses. He further accused top artistes of breaching broadcasting laws. Among the 15 are Diamond’s hit songs Waka Waka, featuring American rapper Rick Ross, and Hallelujah, featuring the legendary reggae group Morgan Heritage, who are both Grammy Award winners and 2017 nominees for the award. Waka Waka was released in December last year and is doing well on YouTube, with over 5.9 million views. Hallelujah debuted last September and has been viewed over 8.7 million times on YouTube. Warm reception The two international collaborations received a warm reception from fans across the world. But the regulator says the two songs do not adhere to 'accepted moral standards in the country'. Some of the music videos feature suggestive dancing and sexual innuendo. Diamond has been slapped with the ban just days after he was handed a broadcasting licence for Wasafi TV and radio. The ministry said in a statement the list of the banned songs was compiled by the State's body in charge of arts and culture, claiming the blacklisted songs did not meet the moral threshold required for public consumption. “TCRA has received the list of the songs from Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). The list of the blacklisted songs has been circulated to various media houses as per the requirement,” read the statement. Last year, the Tanzanian Government also banned socialites from posting nude photos and videos on social media. Affected artistes are Vanessa Mdee’s sweetheart Jux, Ney Wa Mitego, famous for Pale Kati Patamu, and Maku Makuz. Roma Mkatoliki, Kibamia, Gigy Money, and Snura Mushi are some of the biggest Bongo artistes whose songs were prohibited. Others include Hamad Ali (Madee) for the song Tema Mate Tumchape, Jumma Musa for Uzuri Wako, Gigy Money (Nampa Papa), and Barnaba (Nampaga). Diamond and the other affected musicians have not commented on the ban. Affected musicians Zari is the mother of Diamond's two sons. In Kenya, music fans and promoters have condemned the action, terming it a ploy by the Tanzanian Government to destroy some of its popular musicians. Many Kenyan musicians and supporters are of the opinion that the song Hallelujah, featuring Morgan Heritage, does not have the content insinuated by the government.
Read more at: Double blow for Diamond Platinum as his best -selling songs are blacklisted by Tanzanian Government
 
Whats going on in Tanzania? Something is up. Something very fishy.
 
Hivi wanajua walichoandika?!

Madhara makubwa ya ile ban ni wimbo kutochezwa kwenye TV; basi!

Tv zenyewe za Bongo sidhani kama kuna pesa ya maana wanayolipa kama mrahaba!
 
For this,I'm arguing with the government.
Owing to bad messages' songs and videos lead in moral decay!
Can't they entertain without naked sisters and using dirty words?
Not everything to support,
Not everything to imitate,
We have to go only to good things for positive results.
If you stand only on maney and praise you loose humanity,culture and respect!
Eventually you will find your self AGAINST GOD and your religion.
 
Kwani Mondi haendani na Bashite siku hizi? Maana hiyo tu ndio inayoweza kusababisha ban Tanzania.
 
nyimbo zenyewe hata sio mbaya hivyo...nadhani tz govt is starting to go to the dogs...demokrasia hakuna teena...huo ni udikteta sasa...juzi tu wamemfunga opposition MP kwa kumtusi rais mitandaoni....hapa Kenya kama watu wangekuwa wanafungwa kwa kumtusi rais mitandaoni, basi zaidi ya watu millioni 2 wangekua korokoroni sasa hivi....magu namheshimu sana kwani ni mchapa kazi ila hii ya udikteta awache kabisa...
 
Katika hili inaonyesha ni kiasi gani umejawa na wivu dhidi ya Tanzania, hizo nyimbo 13 zilizofungiwa ni kutokana na maadili ya nchi, ama video zake haziendani na maadili au maneno yake, sasa demokrasia inakujaje wakati kila mwanamziki alipewa muda wa kufanya marekebisha bila kutii?.

Kuhusu demokrasia, kamwe usilinganishe Kenya na Tanzania, katika viwango na ranks zote za UN, Tanzania imeizidi mbali sana Kenya, tangu hizi nchi zipate Uhuru haijawahi tokea hata mwaka mmoja Kenya kuipita Tanzania katika ranks za demokrasia.

Tukija kwenye reality huku nchini, ninaomba unitajie majina ya watu waliouliwa au kushughulikiwa na serikali ya Tanzania kwa misingi ya siasa, kwa kila jina moja utakalonipa mimi nitakutajia majina matano ya wakenya waliouliwa kwa misingi ya siasa. Ninanza na watu 60 waliouliwa katika vurugu za uchaguzi, Jacob Juma, Msando, na Pastor wa kule Kisumu aliyemsema vibaya Uhuru Kenyatta kanisani kwa kumshutumu kwa kuwaua wajaluo.
 
nyimbo zenyewe hata sio mbaya hivyo...nadhani tz govt is starting to go to the dogs...demokrasia hakuna teena...huo ni udikteta sasa...juzi tu wamemfunga opposition MP kwa kumtusi rais mitandaoni....hapa Kenya kama watu wangekuwa wanafungwa kwa kumtusi rais mitandaoni, basi zaidi ya watu millioni 2 wangekua korokoroni sasa hivi....magu namheshimu sana kwani ni mchapa kazi ila hii ya udikteta awache kabisa...

Msikilize baba wa demokrasia Africa
 
Ebu pitia youtube usikilize audio ya nyombo hii (BARNABA - NAMPAGA) halafu utumbie ni nchi gani inayongea kiswahili itakubali nyimbo hiyo kwenye TV au radio zao. Nyimbo ya Diamond Hallelujah imepigiwa kelele sana na wakrito wa sehemu mbali mbali kutokana na kuhusisha neno Takatifu Hallelujah na maumbile ya mwanamke. Ni vigumu kujuwa nani ana agalia TV au kusikiliza redio huko majumbani kwao, leo hii unagalia TV na watoto mara kidogo, vitu vya ajabu vinaibuka. utawekawapi sura. Lakini mbona Kenya ina ban nyimbo nyingi kuliko Tanzania? Nani anakumbuka nyimbo ya (Pombe Bangi) iliyokuwa remixed na sauti ya Odinga?

Tatizo la vijana wetu wengi wa kiafrika wako busy ku-westernize our culture tena wanakimbilia bure bure tuu bila hata ya kulipwa.
 
Ebu pitia youtube usikilize audio ya nyombo hii (BARNABA - NAMPAGA) halafu utumbie ni nchi gani inayongea kiswahili itakubali nyimbo hiyo kwenye TV au radio zao. Nyimbo ya Diamond Hallelujah imepigiwa kelele sana na wakrito wa sehemu mbali mbali kutokana na kuhusisha neno Takatifu Hallelujah na maumbile ya mwanamke. Ni vigumu kujiwa nani ana agalia TV au kusikiliza redio, huko majumbani kwao, leo hii unagalia TV na watoto mara kidogo, vitu vya ajabu. utawekawapi sura. Lakini mbona Kenya ina ban nyimbo nyingi kuliko Tanzania? Nani anakumbuka nyimbo ya (Pombe Bangi) iliyokuwa remixed na sauti ya Odinga?

Tatizo la vijana wetu wengi wa kiafrika wako busy ku-westernize our culture tena wanakimbilia bure bure tuu bila hata ya kulipwa.

Japo huwa sikubaliani nawe haswa kwa jinsi huwa umelewa UCCM, lakini kwa hili nakubaliana nawe asilimia 100%
Nimeskliza huo wimbo wa Barnaba - Nampaga na kuhisi aibu tupu, mbaya sana kwa kweli nawaza hapa wanangu waanze kuimba hayo maneno sebuleni.
Hapana kwa kweli, tena aibu tu, wapigwe ban kabisa pambavu zao....
 
Sawa demokrasia sio kukubalina kila kitu, ila ni kweli, maadili yana poromoka katika jamii za kiafrika kwa kuleta utamaduni sio dhahiri kutoka nje ya Afrika. Huwezi kuona mambo kama haya Uarabuni, India au China, jamaa wanabana mpaka saa nyingine inavuka mipaka lakini ndio njia pekee ya kulinda jamii.
 
Back
Top Bottom