Double Chance

Uefa qualification nataka option ya player to be sent off/ redcard kampuni gani hapa kibongobongo?
 
Uefa qualification nataka option ya player to be sent off/ redcard kampuni gani hapa kibongobongo?
Parimatch linaweza likawepo japo sina uhakika
 
Nimekuja haraka kuchungulia labda ntaona wazee wenzangu lakini holaaa jamani mpo wapi nawatafuta mmejificha chimbo gani?
Tusubirie wazee waje kama mods hawataliona itakuwa safi aisee
 
Na kwa kuongezea LEO kifupi chake ni DC na kuna fomula yake
Kwa mfano Celtic & goal 1+
Mfano wa pili DHJ El Jadida 1 or 2
Lakini pia inaweza kuwa mfano Al Ahal 1x2 = 1

Hii ndio mifano ya "Double chance" .......Nadhani tumeelewana
 
ahahahah sina mbavu ila karibu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…