ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna yeyote anaweza kunikutanisha na fundi wa vitanda vya chuma Nina idea nataka wa kunibunia anichongee kwa chini kiwe kitanda kwa juu iwe sehemu ya kukalia ambayo unaweza ukafunga screen yako usawa wake kwenye ukuta ukaitumia kama sofa tu.
Kwa juu.unadesign Koch laini la kukalia SI inawezekana.sitaki iwe vise versa kwamba chini Kochi halafu kitanda juuView attachment 1922744
Kwa juu.unadesign Koch laini la kukalia SI inawezekana.sitaki iwe vise versa kwamba chini Kochi halafu kitanda juuView attachment 1922744