90sgeneration JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 421 Reaction score 502 Jun 13, 2024 #1 kama unavoziona ziko 10 kila moja ni 230k material ni mbao ngumu location : Ilala 0697224996 Attachments 超级截屏_20240613_130953.png 1.2 MB · Views: 7 超级截屏_20240613_131019.png 1.9 MB · Views: 5 超级截屏_20240613_131036.png 1.1 MB · Views: 5
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Jun 13, 2024 #2 Jana ulileta uzi wa kuuza Kabati,leo unauza sijui Double deka, Mumeo mpaka arudi kwenye safari yake atakuta nyumba nyeupe na mke karudi kwao Ifakara,kaenda kufungua Pharmacy. 😀
Jana ulileta uzi wa kuuza Kabati,leo unauza sijui Double deka, Mumeo mpaka arudi kwenye safari yake atakuta nyumba nyeupe na mke karudi kwao Ifakara,kaenda kufungua Pharmacy. 😀
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Jun 13, 2024 #3 The Icebreaker said: Jana ulileta uzi wa kuuza Kabati,leo unauza sijui Double deka, Mumeo mpaka arudi kwenye safari yake atakuta nyumba nyeupe na mke karudi kwao Ifakara,kaenda kufungua Pharmacy. 😀 Click to expand... Yuko kazini huyo..hivyo sio vyombo vya nyumbani kwake
The Icebreaker said: Jana ulileta uzi wa kuuza Kabati,leo unauza sijui Double deka, Mumeo mpaka arudi kwenye safari yake atakuta nyumba nyeupe na mke karudi kwao Ifakara,kaenda kufungua Pharmacy. 😀 Click to expand... Yuko kazini huyo..hivyo sio vyombo vya nyumbani kwake