Bila kujali ile shahada yake ya kwanza ya uzamivu PhD,hivi majuzi yaani mwanzoni wa Desemba 2011 Mh. Dk E.Nchimbi alitunukiwa nyingine pale Mzumbe University baada ya kuipigia kitabu kwa muda mrefu-japo wengi hatukujua na kuipata.Kila la heri.
Mbona za nje ndo rahisi sasa? Huku kwetu unajua siku ya kuingia lakini siku ya kutoka huijui! Elimu ya nje ni ya kawaida sana, ndo mana mi nikikutana na mtu aliyesoma nje kwenye interview, labda anizidi kiingereza tu. mengine mengi ni ujanja ujanja tu.
Nchimbi kafanya PhD ya thesis tu, kaandika miaka yote minne. Supervisor wake wanadai kafanya vizur sana.
Ila mi ninachojua, ni kuwa wanadamu uona wao tu ndo wamesoma na wengine ni wanafukuza upepi!