donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
habar yenu wakuu. Napenda kuuliza kuhusu double jeopardy ambayo ipo kwenye fifth amendment ya US constitution. Kwa wale wasiofaham ni kwamba incase ukasingiziwa umeua halaf ukafungwa,ukitoka jela unaweza kumuua yule uliosingiziwa umemuua na sheria haiwez kukufunga( a person cant b killed twice). Swali lang,je hapa nchini kwetu sheria hii ipo applicable? Asanten