donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Mkuu Mimi sio mtaalam wa sheria lakini.
Ili mahakam ikutie hatiani kwamba umeua lazima cheti cha kifo (kudhibitisha ulikufa), pili post mortem report kudhibitisha chanzo cha kifo
na kibali cha maziko nk. Sasa kama vyote hivyo hakuna ina maana huyo mtu hajafa na mtuhumiwa hatakua na Kesi ya kujibu.
Hapa kwetu ukikutwa na kosa la mauaji hukumu yake ni kifungo cha maisha ama kunyongwa hadi ufe so no room for revange
nashkuru mkuu but suppose everthn has been forged n ur found guilty