Jamaa tujuzane kiasi, wafungwa hii elimu inawasaidiaje wanapokua gerezani...
Especially wale waliohukumiwa maisha, wajua kidogo hii nakala inaonyesha wataendelea na elimu ya shule ya upili...
Samuel Thiong'o of Nyeri Main Prison, King'ong'o, celebrates with his friends on November 19, 2019, after scoring 335 marks in KCPE examinations. Candidates at the prison attained a mean score of 226. PHOTO | JOSEPH KANYI | NATION MEDIA GROUP
Benson Ngotho Kang'ara is a happy
Big up wafungwa!!
Halafu utakuta mijijitoto mingine mitaani imeshindwa na wafungwa...
Mtoto hata 300marks zinamshinda