"Double Protection Against Germs" Nini tafsiri nzuri kwa kiswahili katika marketing campaign

Bouncer

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
344
Reaction score
248
Ndugu wanajamvi salaam.

Ninataka kulaunch product yangu moja ambayo kwa kizungu slogan yake ya campaign ni "double protection against germs" sasa kwa tafsiri ya haraka haraka ni "kinga mara mbili dhidi ya vijidudu" lakini kwa mtazamo wa marketing campaign naona haiclick poa.

Tafadhali naomba mchango wenu ni slogan gani nzuri naweza itumia kwa Kiswahili na ikaclick na kustick kwenye vichwa vya consumers vizuri zaidi.

Thanks na nawasilisha.
 
kwa nini usiseme kinga madhubuti........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…