Double standards: TAKUKURU yashindwa kuwachukulia hatua watoa rushwa wa CCM wasema chama ndio kiwachukulie hatua

Hatari sana, nimeona pia gazeti moja limemchafua sana Tundu Lisu Leo, Nikajiuliza hivi ndo ingekuwa magufuli kaandikwa hivi ingekuwaje.....Ila hivi vyombo vya serikali vijue kabisa kuwa Urais ni kupokezana , Leo huyo mnaempendelea kesho atakuwa mpinzani, na huyu mnarmkandamiza kesho ndo atakuwa rais, Sijui mtaficha wapi sura zenu. Kumbukeni Malawi, Kenya, Zimbabwe, Congo na nchi nyingine nyingi kuwa vyama tawala sasa hivi ndio vyama vya upinzani.
 
PCCB Umemaliza Kazi Yake Vema
Tuone Chama Dola!!! Wakitenda Haki
Mguu Wa Roho Huu
 
Nimesikiliza kipindi cha magazetini Leo, nikajiuliza maswali kama yako. Hivi Nipashe lingeandika "mgombea wa CCM aache kuropoka" lingeendelea kuwa mitaani? Halafu tunaambiwa kuna uchaguzi huru!!!
 
Nimesikiliza kipindi cha magazetini Leo, nikajiuliza maswali kama yako. Hivi Nipashe lingeandika "mgombea wa CCM aache kuropoka" lingeendelea kuwa mitaani? Halafu tunaambiwa kuna uchaguzi huru!!!
Unashangaa ya Tundu Lissu kuitwa mropokaji, gazeti Hilo Hilo Jana liliandika kuwa Maalim Seif Ni shoga,

Yaani nimeshangaa sana kuona pccb wametoa hyo taarifa, eti wanaiachia ccm! kumbe kazi nini?
 
Unashangaa ya Tundu Lissu kuitwa mropokaji, gazeti Hilo Hilo Jana liliandika kuwa Maalim Seif Ni shoga,
Ni kweli waliandika hivyo mkuu@Johnny Sack ? Ni gazeti gani? Tunaomba picha tuweke kumbukumbu, kesho tuwe na ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…