ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nilishalisema hapa huko nyuma na bado nitaendelea kusisitiza, kumtegemea Fiston kule mbele peke yake kutaendelea kutughalimu mpaka kuja stuka tutakua tumechelewa sana!
Kuanzia hapa nyumbani na hata nchi jirani pia nchi nyingi za ki afrika Mayele anajulikana kwa vurugu zake na hatari langoni mwa timu pinzani...eti sie mwalimu anaendelea kumwacha mbele pekee yake matokeo beki zote zinahakikisha hagusi mpira au kuwa comfortable kitendo kinachosababisha acheze kwa shida mno na kupoteza nafasi nyingi sababu anacheza akiwa na tension kubwa.
Yanga tuliliona pungufu hilo tukamleta msaidizi angalau wawe wanaanza wawili lakini ajabu kocha bado anaendeleza mfumo wake wa mshambuliaji mmoja kitu ambacho kinaifanya timu ishinde kwa taabu sana kila mechi ichezayo iwe ya ligi ya ndani au kimataifa.
Nina imani endapo yanga tutawatumia wachezaji tuliowaleta kuja tatua shida hizi katika nafasi zao tungeshinda goli nyingi tu kwani timu ipo vizuri kwa sasa.
Weka mbele Morisson, Mayele, Musonda nyuma yao aziz, Bangala /Mudathir /Aucho, Beki Lomalisa, Job, Dombia, Djuma.
Halafu subiria mziki wake..
Lkn mfumo wa mshambuliaji mmoja mbe, tutakesha kutafuta magoli kwa sasa maana winga wenye spidi na uhakika hatuna kiukweli, tatizo linalotulazimu tulitatue dirisha lijalo.