Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Wakuu....
Laptop yangu ilikuja na window vista, ila ilikuwa haitaki ku-install baadhi ya programs zangu muhimu za shule, kwa hiyo kuna mtaalamu mmoja akaniwekea window xp hivyo kufanya computer yangu kuwa na windows mbili (double operating system), window vista ilikuwa default window.
Sasa nimemaliza shule na siihitaji tena window xp, kwa hiyo wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kuondoa window xp bila ku-disturb window vista na programs zake. Kwa mwenye kujua hayo anisaidie hapa jamvini au kwa kuni-PM.
Nawakilisha