Wakuu nasubiri!!
Nenda Ka edit kitu kinaitwa Boot.ini fileWakuu....
Laptop yangu ilikuja na window vista, ila ilikuwa haitaki ku-install baadhi ya programs zangu muhimu za shule, kwa hiyo kuna mtaalamu mmoja akaniwekea window xp hivyo kufanya computer yangu kuwa na windows mbili (double operating system), window vista ilikuwa default window.
Sasa nimemaliza shule na siihitaji tena window xp, kwa hiyo wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kuondoa window xp bila ku-disturb window vista na programs zake. Kwa mwenye kujua hayo anisaidie hapa jamvini au kwa kuni-PM.
Nawakilisha
Kaka, hiyo wanacheza nayo wanaofahamu wanachofanya. Ni Hatari sana na anaweza kumuua "mgonjwa" kabisa!Nenda Ka edit kitu kinaitwa Boot.ini file
Lakini kwa sababu ulisema hata hiyo XP uliwekewa na mtaalamu bora umtafute huyo mtaalamu au mwingine yeyote sababu ukikosea tu kuedit vibaya kwenye hiyo Boot. ini mashine yako itahitaji fresh installtion.efe
Kuna option mbili za ku edit boot ini kuondoa reference ya OS usiyotaka
1 .nenda kwenye Run type msconfig.exe kuna button ya boot.ini chagua hiyo
2. Right click my computer chagu Propoerties then advanced alafu chaguabutton ya setting kwenye startup and recovery mwisho chagua button ya Edit kwenye system Startup. Hapo unaweza kuedit kuchagua OS unaytaka kuifuta.
Kwa maelezo zaidi tembelea How to edit the Boot.ini file in Windows XP
Ok sikujua kaka. zadi ya kusoma soma sina practical experince kubwa sana kwenye . Window Vista na 7. Am still enjoying XPKaka, hiyo wanacheza nayo wanaofahamu wanachofanya. Ni Hatari sana na anaweza kumuua "mgonjwa" kabisa!
Kuna computer (Kuanzia Vista->>) zina auto software the ku repair ndio maana ya swali langu hapo juu
Ok sikujua kaka. zadi ya kusoma soma sina practical experince kubwa sana kwenye . Window Vista na 7. Am still enjoying XP
So tupe shule I would also like to know.assuming specs zake zinakizi vigezo. anatakiwa afanye nini? au hizo specs ni ni zipi?