Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Siku Doumbia akitupia kambani atashangilia sanaMzee wa Mikimbio..Juma pili ataingia Kambani(Tunza Risiti)
Mali kwinyo?1. Waingie mkataba na kampuni ya Total Energy watumie ile clip maarufu aliyorukia mpira kama anacheza rede kwenye tangazo lao.
2. Wauze clip za vituko vyake kwenye makampuni ya kubeti.
3. Wamtumie kama kivutio kila waendapo watu walipe $5000 kupiga naye picha.
Doumbia ni striker la boli, magoli yakiongezwa urefu na upana atatupia nyingi sana.
Uto nyie wanafiki sanaYule Ibrahim Doumbia ni Osimhen mtupu.
Nyinyi endeleeni tu kumdharau. Sisi mashabiki wengine tunamuelewa sana.Uto nyie wanafiki sana
Aliyemleta Doumbia pale Simba ni motoni moja kwa moja. Kufunga atafunga tu kwa sababu anacheza mbele ya goli ipo siku mpira utakutana naye bahati mbaya lakini kwake itakuwa bahati nzuri atatupia. Baada ya hapo sasa mbumbu watavamia redio zote, magazeti, online TV na TV kutakuwa hakukaliki. Uzuri ni kuwa wao siku zote wanashangalia vitu vya hovyo wakija wakishtuka ligi imeisha wenzao wanadhangilia ubingwa .
Pia kuna kitu kinanishangaza kwa Doumbia mbona kama miguu haina nguvu maana kila mechi lazima aanguke zaidi ya mara moja uwanjani. Wataalamu watumbie shida ni nini?