M Mwikimbi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,762 Reaction score 829 Mar 26, 2009 #1 kuna mtu amepita eneo la dowans jana na juzi, amenihakikishia kuwa aliona mitambo ile inafanya kazi, sasa kuna mawili: huenda imeshanunuliwa kimya kimya au labda ilikuwa inapshwa moto? wenye kuelewa hili jambo naomba mtuondoe wasiwasi
kuna mtu amepita eneo la dowans jana na juzi, amenihakikishia kuwa aliona mitambo ile inafanya kazi, sasa kuna mawili: huenda imeshanunuliwa kimya kimya au labda ilikuwa inapshwa moto? wenye kuelewa hili jambo naomba mtuondoe wasiwasi
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Mar 26, 2009 #2 Piga ua lazima itanunuliwa...
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Mar 26, 2009 #3 Imenunuliwa hiyo. kinatafutwa uthibitisho ili waanze kuhamisha mijisenti. Mgao ni bosheni ya miaka ya 60 ambayo hata todler anaweza kung'amua
Imenunuliwa hiyo. kinatafutwa uthibitisho ili waanze kuhamisha mijisenti. Mgao ni bosheni ya miaka ya 60 ambayo hata todler anaweza kung'amua