Kuwa na rejea ndogo kwenye maandiko kunaashiria kiasi kikubwa cha plagiarism, yaani wizi wa kitaaluma. Mawazo yote hayo huwezi kuyatoa kwenye vitabu vinne peke yake, ni ngumu sana.