Download Nyimbo mpya ya RAMA DEE FT LADY JAYDEE- KAMA UWEZI

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
wasanii wakubwa wakongwe wameendele kuonyesha hawazeeki vipaji vyao. na wale wanasema JD kakopy sikilizen na hii na mwaka huu anaconda ataendelea kuwameza wale wenye roho za kwanini, pakua hiyo nyimbo kupitia hii hapaaa Www.greatlakesmix.com
 
Tutagombana kila siku ndani,tutatishiana kugawana mali,bila kumjua mchawi wetu nani,kama huwez eeh eeh...
 
nadhani ni wimbo niupendao kuliko zote mpya alizotoa. kazi nzuri Jide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…