Ukiingia kule, elekea sehemu inaitwa "Downloads" hii iko mbele ya "products",
ukibofya hapo kwenye downloads utakuta kuna sheria mbalimbali, bofya na kuipata bure. pia, waweza angalia kwenye blog hiyo yote vitabu vya sheria mbalimbali ambavyo vitakuwa vinawekwa. kuingia kwenye downloads bofya www.sheriakwakiswahili.blogspot.com
karibu, kuna sheria nyingine nyingi sana tutaziweka. pia, ukiangalia hapo kwenye products, utakuwa kuna msaada wa kisheria, kwa jumamosi na jumapili tu. maelekezo yamewekwa kuhusu hilo ukibofya.www.sheriakwakiswahili.blogspot.com