Doyo: Tusiwaze kukodi watu kuja kuwaeleza matatizo ili tufikie makubaliano

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza leo Septemba 7, 2026 kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, amesema haiwezekani kukodi watu au kuita wageni kuja kusikiliza matatizo ya Taifa ili kufikia makubaliano.

Doyo amerejea maridhiano yaliyofanyika Zanzibar kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha CUF yalifanyika bila kuhusisha watu wa nje.


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…