mdalla 1 Senior Member Joined Aug 11, 2014 Posts 120 Reaction score 20 Oct 11, 2014 #1 Ndugu naomba ushauri wa kitaalamu nimemaliza dozi ya amoxlyn siku tatu zmepita na Leo Luna harusi vp naweza kunywa pombe Leo? Dozi iliisha j5, msaada jamani
Ndugu naomba ushauri wa kitaalamu nimemaliza dozi ya amoxlyn siku tatu zmepita na Leo Luna harusi vp naweza kunywa pombe Leo? Dozi iliisha j5, msaada jamani