wadau habari za asubuhi
naombeni kwa anayefahamu dozi ya mebendazole dawa ya minyoo anijuze maana kuna mtu kapewa kaambiwa dozi ni vidonge viwili ila nakumbuka nshapewa hospitali na nilitumia siku tatu ila nimesahau ni mara ngapi na vidon
ge vingapi kwa siku . asanteni naombeni msaada